Jiji la Yerusalem mpya laonekana angani nchini Marekani

Jesus city

Watu wakionyeshana mji wa Yerulemu ya mbinguni ukionekana kwa mbalikatika mawingu huko california nchini USA

katika hali isiyokuwa ya kawaida, jiji la Yesu yaani Yerusalem mpya limeonekana angani likiwa limefunikwa na mawingu katika baadhi ya sehemu zake. Hii si mara ya kwanza kwa jiji hili kuonekana angani, mwaka 2011 lilionekana nchini nigeria, mnamo mwaka 2015 lilioneka katika mji mmoja huko china na october 2015 limeonekana katika anga la mji wa California nchini marekani, mashuhuda wanadai kwamba waliona majengo mazuri na sauti za mashine zikisikika kutoka katika mji huo.

Zaidi sana inadaiwa kwamba mji ule ule na majengo yale yale yaliyoonekana china ndiyo yameonekana tena october 2015 California nchini marekani.

Hii ni dalili ya kuwa mwana wa adamu yuko mlangoni, na inawezekana huu ndiwo wakati ambao kanisa linanyakuliwa ili kupisha nafasi ya mpinga kristo. mimi na wewe tupambane twende katika unyakuo wa  kwanza, maana taabu dhiki na mateso vitaikumba dunia.

Bwana atusaidie kwa jina la Yesu…….

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

One Response to Jiji la Yerusalem mpya laonekana angani nchini Marekani

  1. mmonga emanga says:

    Kabisa!!

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s