Namna ya kupokea mahitaji yako

Biblia inasema ombeni mtapewa, tafuteni mtapata, bisheni mtafunguliwa, maana yake mambo haya yote unapaswa kuyafanya kwa wakati mmoja! kuna watu wanashindwa kuelewa maandiko, wanasoma palipoandikwa msisumbuke na mambo ya kesho mle nini mvae nini, wangalieni ndege wa angani hawavuni na hawakusanyi ghalani lakini Baba wa Mbinguni huwalisha.

Lakini ukilitafakari vyema hilo andiko haliko kama watu wanavyofikiri kwamba hawapaswi kufanya kazi, maana hata hao ndege wa angani ni kweli kwamba Mungu huwalisha lakini wanapaswa kutoka kwenye viota vyao kwenda kutafuta chakula! Mungu anachokifanya hapa ni kuwaonyesha na kuwaongoza wapi kipo chakula!

Vivyo hivyo na wanadamu, Mungu yuko tayari kukupatia kila kitu, lakini hakupi mkononi ila atakuonyesha wapi vinapatikana, ni wajibu wako sasa kuvifuata ama kuacha!

ndio maana akasema ombeni,tafuteni na bisheni! sasa hapa maana yake ni kwamba mwombe Mungu akuonyeshe vitu unavyohitaji mahara vilipo, kisha toka nenda huko alikokuonyesha ukavitafute! ukizingatia hili Mungu atakufanikisha! barikiwa kwa jina lipitalo majina yote!

Advertisements

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

2 Responses to Namna ya kupokea mahitaji yako

  1. Frajeth Focus says:

    Amen

    Like

  2. Imani Swillah says:

    Amina

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s