Author Archives: New Hope Ministry

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com

Namna ya kupokea mahitaji yako

Biblia inasema ombeni mtapewa, tafuteni mtapata, bisheni mtafunguliwa, maana yake mambo haya yote unapaswa kuyafanya kwa wakati mmoja! kuna watu wanashindwa kuelewa maandiko, wanasoma palipoandikwa msisumbuke na mambo ya kesho mle nini mvae nini, wangalieni ndege wa angani hawavuni na … Continue reading

Posted in HOME | 2 Comments

Theres a way out from your trouble!

Whatever situation is going wrong, wherever you are in trouble, don’t worry God will make a way out for you! don’t los hope, there is the way out from your trouble

Posted in HOME | 1 Comment

Jiji la Yerusalem mpya laonekana angani nchini Marekani

katika hali isiyokuwa ya kawaida, jiji la Yesu yaani Yerusalem mpya limeonekana angani likiwa limefunikwa na mawingu katika baadhi ya sehemu zake. Hii si mara ya kwanza kwa jiji hili kuonekana angani, mwaka 2011 lilionekana nchini nigeria, mnamo mwaka 2015 … Continue reading

Posted in HOME | 1 Comment

Niko kwenye maombi, tafadhali tuma mahitaji yako nikuombee

Shalom, niko kwenye maombi siku ya leo nikiombea mahitaji ya wengine, tafadhali nitumie mahitaji yako ili nikuombee, unaweza ku-coment hapa au whatsapp +255755961270 Ev.moses

Posted in HOME | Leave a comment

NHM: mision to Uganda january 17-21/2016

We are very happy to let you know that we will have a mission trip to Uganda on january 17-21.20116, the event will take place at Namtumba town, two hour driving from the capital city (Kampala city) please keep praying  … Continue reading

Posted in HOME | Leave a comment

Sitamtolea shetani sadaka

Hivi punde nimemaliza kuongea na mtu mmoja kwa njia ya simu kutoka Ghana, alikuwa anataka kuni-support na dollar $50,000.00 kwajili ya NHM. lakini alitaka kwanza nitoe sadaka kwa miungu yake, kondoo wawili na manukato, na alidai kwamba mimi sitahusika na … Continue reading

Posted in HOME | Leave a comment

The Lord God will enable you to close this year

The Lord almighty God bless you and enable you to close the 2015 into 2016. coment AMEN if you want to receive..

Posted in HOME | 2 Comments