Category Archives: MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE

Karibu katika ukurasa huu, tutakuwa tukikuletea mafundisho ya mwalimu christopher mwakasege kila siku. Bwana Akubariki.

JINA LA YESU KRISTO – MOJAWAPO YA FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI

“Nami nakuambia ….. na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni” (Mathayo 16:18 … Continue reading

Posted in MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE | 21 Comments

JIHADHARI NA MAFUNUO

Wiki ya Kwanza MAFUNUO Neno hili MAFUNUO linatokana na neno FUNUA. Hili neno FUNUA limetafsiriwa toka kwenye neno la kiingereza la ‘Reveal’. Neno ‘Reveal’ kwa kiswahili lina maana ya funua, fumbua, fichua, dhihirisha, eleza siri, onyesha au vumbua. Kwa hiyo … Continue reading

Posted in MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE | 16 Comments