Membership

Welcome to this service, we are very few with many responsibilities, we beg you to join us with this service, let us share each other whatever God has put into us! feel free to leave a coment below with your full contact then we will contact you soon.

Karibu kwenye huduma hii, sisi ni wachache sana lakini majukumu ni mengi sana, hivyo tunakuomba uungane nasi katika huduma hii ili tushirikiane kile ambacho Mungu ameweka ndani yetu. weka coment yako hapa chini pamoja na anuani yako tutawasiliana.

Advertisements

15 Responses to Membership

 1. Pingback: Membership | NEW HOPE MINISTRY

 2. Basiga Florence says:

  Bwana Yesu asifiwe! Mwenyezi Mungu awabariki kwa kutoa mda wenu kulifundisha neon la Bwana.Daima nabarikiwa na mafundisho yenu kupitia ukurasa huu.

  Like

 3. Josiah m.Elijah says:

  Nimesikia toka kwenu na ninabarikiwa sana na NENO la MUNGU kwa kuwa ndilo neno pekee liwezalo kumuongoza mtu.Naa ningependa kujua programu zenu za mambo mbalimbali
  Mungu atubariki sote

  Like

 4. dickson J I says:

  nahitaji kujiunga na NHM AMEN

  Like

  • ubarikiwe sana Dicksoen, karibu sana katika familia ya Bwana ili tupige mwendo kumtumikia Mungu wetu na kuziendea rehema zake katika kiti chake cha rehema! wakati wowote ukiwa na unahitaji kuongea na viongozi wa NHM tuma ujumbe 0755961270 masaa 24 siku 6 za week. jumanne hadi jumapili. na jumatatu ni saa 4 asubuhi hadi saa 3 usiku, ubarikiwe sana.
   NHM SENIOR.

   Like

 5. dickson J I says:

  Email:dicksonibrahimu27@gmail.com
  simu .0758175227/0685103803
  eagt-tarime

  Like

 6. Omega says:

  MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANA. MMEGUSA MAISHA YANGU KUPITIA NENO LA MUNGU.

  Like

 7. kennedy mose says:

  Blessed is you brother that i have managed to reach your site!indeed among the promises our father Abraham was give by our good Lord was to bless him who blessed him,see our great our good lord his!you paid nothing for your salvation and i also then the bible gives us fully information about christian life. Among the disciples of Jesus,peter is the one who was easily identified to have the similar characteristics like Jesus;walking,talking and many others.the scripture says that for those who follow the Jesus Christ they do according to him and he is their father vice verse to those serving Satan.to you have seen and learn many great things from your website that will make me to continue reading it.mighty work of the lord,and i feel to have a common fellowship with you wonderful blessed internationalist.pray for my young growing fellowship to receive the spiritual material and read to know what real the living God have for us.we are worshiping under the shade of trees.and own 15 Holy bibles of the 128members in congressional.blessed are the men who invest in Christ.holding faith to hear from you promptly, yours in love and ‘Hebrews 11;1-3’ pastor Kennedy

  Like

 8. Yakuti Bori says:

  Nampenda
  namuelewa anavyofundisha Mwakasege kuliko walim na wachungaji wote ambao nilishawai kuwasikiliza
  NAMUOMBA MUNGU AMLINDE NA AAMPE MAISHA MALEFU MW MWAKASEGE.

  Like

 9. aidan swai says:

  nimekuwa nabarikiwa sana na semina za mwilimu mwakasege

  Like

 10. Meimutie Ngigwana says:

  Nabarikiwa sana

  Like

 11. Absalum luhigilo msemwa says:

  Mungu hufungua milango ya agano lake ktk safar yangu ya kumtumikia kila nnaposikiliza mafundisho ya mwl mwakasege MUNGU AIBARK HUDUMA HII! AMEEN

  Like

 12. godliver bayona says:

  i wish to be a member

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s