Tb Joshua adhulu Tanzania

TB JMhubiri maarufu barani africa, nabii Temitope belgun Joshua wa Kanisa la Sinagosi la mataifa yote lenye makao yake makuu mjini lagos nchini Nigeria.

Ziara ya Joshua imekuja mara baada ya mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi Dr.john magufuli kushinda kiti cha urais katika uchaguzi uliofanyika october 25 20015.

Magufuli ambaye alikwenda kuombewa kwa nabii huyo miaka michache kabla ya uchaguzi, ameonekana mwenye furaha yeye na familia yake wakiwa uwanja wa ndege kumpokea mhubiri huyo.

Inasemekana kuwa ujio wa Joshua nchini tanzania ni kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mteule wa nchi hiyo.

Advertisements
Posted in HOME | 1 Comment

Baada ya uchaguzi Tanzania

Bwana wetu Yesu kristo apewe sifa!

Tunamshukuru Mungu kwa kuimarisha na kuendelea kuimarisha amani na usalama katika taifa la Tanzania ambalo lilikuwa na uchaguzi mgumu na wenye harufu ya damu. lakini kwa maombi ya watakatifu amani imeendelea kuwepo katika nchi.

Asante Yesu kwa kuwa wewe ni amani yetu.

Na sasa ndugu zangu wapenzi mambo ya siasa na chuki na hasira za kisiasa tuziweke pembeni na kuangalia mstakabali wa taifa letu. mambo ya uchaguzi yamepita  na tunamshukuru Mungu Rais amepatikana.

pamoja na hayo lakini tuendelee kuombea amani kule upande wa zanzibar ambako hadi sasa hakuna Rais.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tutetee watu wako

Posted in HOME | Leave a comment

Bwana Mungu wa majeshi akubariki

image

Nakuombea. Bwana akubariki uumalize mwaka huu salama kwa jina la Yesu

Posted in HOME | 1 Comment

Stay Alive

image

Being dead doesn’t mean that a person is totally gone. Also being living doesn’t mean that a person is totally alive.

Because a person may die but still alive. Aslo a person may be living but dead!
How awesome are these words?

Any person died with Jesus, he is alive even though he is dead. We remember what happened to the dead person after the conduction of his deadly body with the remained bones of Elisha’s body in a grave where a person did rose from the dead because elisha was dead but alive.

Also a person living sinful live is considered dead beacuse of the sin into him.

The Lord can restore every living dead person and bring him to live again. Repentance is the only way to the restoration. Dont delay; step for changes.

Ev.Mose mayila – senior pastor NHM

Posted in HOME | Leave a comment

Lowasa ahamia ukawa

image

Waziri mkuu msaatafu wa awamu ya nne mh. Edward Lowasa ametangaza rasmi kukihama chama chake ccm na kuhamia chadema. Lowasa alisema hayo jana katika mkutano wa ukawa pale bahari beach jijini dar es salaam. hata hivyo hofu imewakumba baadhi ya watu na kuwaza huenda huo ni mkakati wa ccm kuuvunja ukawa.

Hata hivyo kumetokea hali ya sintofahamu baina ya wafuasi wa chadema mara baada ya mh. Wilbroad slaa na mh. Tundu lisu kutoonekana katika mkutano huo, huku tetesi zikisema kwamba mh. Dr. Slaa na mh. Lisu wamekasirishwa na maamuzi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema mh. Freeman mbowe cha kumkaribisha mh. Lowasa na kumpa fursa ya kuwania taji ya urais kupitia ukawa.

Mwandishi wa azam tv jana alimuuliza mh.halima mdee kuwa kwanini viongozi hao wa ngazi ya juu kabisa hawakuonekana. Mh.mdee hakujibu swali hilo na badala yake alianza kuchengachenga hali iliyopelekea watu wengi kusadiki kuwa kweli mh.dr. Slaa na mh. Lisu wamegomea kitendo hicho.

Mwandishi wa blog hii amemtafuta dr. Slaa kwa njia ya simu ambapo mh. Slaa hakutaka kuzungumzia hilo.

Posted in HOME | Leave a comment

Halleluiah brothers and sisters

image

Halleluiah. After being operating a crusade at furahisha last week. Thi afternoon i have an opportunity of being in the house of the Lord (Lumala EAGT) My home church. This photo is the second sunday service. Keep praying for us.

Posted in HOME | 2 Comments

Our crusade has ended today

image

We have completed our mision to mwanza city this week. Where thousands they came to Jesus by the realese of the powerful Gospel which a man of God Ev.kidosi preached. Keep praying for the again next year mwanza crusade. We are now taking a break for a moment then we will move to another place.

Posted in HOME | Leave a comment