PRAYERS

Welcome for prayers. from this month to December 2012 we will be praying for students. University students, College students, secondary school students, primary school students, nursery school students and more… please fill the form below and let us know about you so we will pray for you. we also pray for the needs please let us know your need we will pray for you. even though you do not want to tell us your need, but God knows what you have to do is only to tell us to pray for you and God will answer you. stay in touch with Jesus.

Advertisements

35 Responses to PRAYERS

 1. Hyera says:

  My Name is Adelim Hyera (Mr) of Kibaha Tanzania. I’m Expecting to get a new work stpray for meation please

  Like

 2. baraka says:

  pray for me nasumbuliwa sana na hofu vile vile naumwa tezi zina oversecrty so zinaleta tatizo kwenye moyo kama bp nk naomba maombi shetani ashindwe kwa kishindo kikuu sana mungu awabariki sana sana

  Like

 3. Yohana says:

  Nahitaji maombezi ili niweze kuponywa pamoja na mchumba wangu aitwaye Aisha..mimi ni muathirika wa VVU..nahita faraja yake Mungu ili niwe mwanadam mpya

  Like

  • Pole sana Yohana. Tutakuwa na maombi maalumu kwajiri yako alhamisi ya wiki hii huko Rwanda. Bwana atakuponya kwa kuwa umeamua kumtafuta na kuhitaji kuponywa! maana imeandikwa “Waliponywa wote waliotaka kuponywa” Ubarikiwe sana.

   Like

 4. Yohana says:

  Asanteni sana watumishi wa Mungu kwa kazi hio inayoenda kutendeka kwa ajili yangu..namuomba Mungu awe pamoja nami siku zote za Maisha yangu kwa kua sasa nimeamua kuachana na dhambi na kumfata yeye Jehova

  Like

 5. Martha says:

  Naomba maombi yenu watumishi wa mungu, Anihitaji mungu aniwezeshe niweze kupata hela ili niweze kujiendeleza kielimu, pia mungu aniwezeshe niweze kupata kazi ambayo ntakuwa na uwezo wa kusoma masomo ya jioni. Martha

  Like

 6. Greyson says:

  Bwana Yesu apewe sifa! Ninabarikiwa sana na huduma yenu. Ninaitwa Greyson ninachukua Masters Degree in Corporate Communications and Public Relations katika chuo kikuu cha Leeds, kilichopo hapa Uingereza. Nampenda Yesu. Nahitaji maombi yanu Mungu anifanikishe katika masomo yangu. Kwa sasa nimeshafanya mitihani ya semester ya kwanza nasubiri matokeo yanayotarajiwa kutoka tarehe 15/2/2013. Mitihani kwa ujumla ilikuwa mizuri ila naomba Malaika wa Mungu wawe walinzi katika zoezi zima la usahihishaji wa mitihani na assignments. Nifaulu katika kuwango cha juu. Mbarikiwe

  Like

 7. Gloria says:

  Shalom.. Asanteni kwa huduma mnayoendelea kuitoa. Naomba maombi yenu katika mambo matatu.
  1. Kuwa karibu na Mungu na kutokukata tamaa katika kungojea neema na baraka zake
  2. Kufanikiwa kupata Kazi.
  3. Ulinzi katika mahusiano yangu na mchumba wangu Emmanuel.
  Kwa kweli nahitaji maombi yenu kwani nimekua na imani haba katika maisha yangu na muda mwingine hata sijui my true purpose in this life maana nimekua nikikata tamaa.
  Mbarikiwe.

  Like

 8. John says:

  Namshukuru mungu kwa kunionyesha mwanga wa mafanikio, amenipa vipaji vingi. Lakini nina tatizo la kuandamwa na nguvu za giza. Naomba maombi yenu nguvu za shetani zishindwe katika jina la Yesu.

  Like

 9. suma says:

  Bwana Yesu asifiwe..huwa nabarikiwa sana ninaposikia mahubiri yako..mtumishi wa

  Mungu nahitaji maombi yako ili niweze kupata kazi nimehangaika muda mrefu bila mafanikio.

  Like

 10. Coellastina Nangi says:

  KUTEMBEA NA ROHO MTAKATIFU KUNAHITAJI USIKIVU MKUBWA BARIKIWENI

  Like

 11. Omega says:

  naitwa OMEGA. NAZIDI KUBARIKIWA SANA NA HUDUMA YENU. NAHITAJI MNIKUMBUKE KWENYE MAOMBI NIPATE AJIRA MWAKA HUU KAMA NILIVYOAHIDIWA NA MKURUGENZI, PIA NAOMBA MAOMBI MUNGU ANIPE UAMINIFU WA HALI YA JUU PALE NITAKAPOAJIRIWA .MBARIKIWE SANA.

  Like

 12. YONA FRANCIS says:

  NAOMBA UNIOMBEE MAANA BABA YANGU AMELALAZWA YUPO HOI HOSPITAL NDIYE ANAYE NISAHIDIA KWENYE ADA PIA NI NGUZO YA FAMILIA YETU NAOMBA MAOMBEZI YENU MAANA TUME FIKA MWISHO KWA SASA HEE YESU UTUOKOWE

  Like

 13. Fidelis Msomekela says:

  Tumsifu Yesu Kristu, kwanza kabisa napenda sana kuwapongeza watumishi wa Mungu kwa kazi hii mnayofanya. Naomba sana maombi yenu juu yangu kwani nina nia ya kutangaza neno la Mungu toka siku nyingi sana ila kila mara huwa napata vikwazo.Bwana awe nanyi

  Like

 14. hilda mwakalinga says:

  Mimi naitwa hilda mwakajonga nnawapongeza kwa kazi ya bwana ombi langu kwenu nina mtoto mwenye matatizo ya kutembea toka kuzaliwa sasa hivi ni mkubwa anatembelea ukuta ,na ufahamu wake sio kwa asilimia zote lakini mambo mengi anatambua,akipata siku zake anachukua muda mrefu hivyo watu wa mungu naomba maombi yenu,pia ajira yangu na mume wangu zidumu ili tupate kumtunza ,anasoma shule maalum buguruni

  Like

 15. Mabipya says:

  Tumsifu Yesu Kristu,Napenda kuwapongezi kwa kazi kubwa watumishi na Mungu azidi kuwabaridi na kuwapa hekima na upendo kuendelea kutusaidia.Mimi ni msichana wa miaka 31 nilikua na mchumba wangu kwa mda wa miaka 11 kutokana na uhusian kua na mikasa mingi pamoja na yeye kutorudi nyumba au kurudi usiku wa manane na kunipiga mara nyingi nlikua nikiondoka kwenda kwetu na kurudi kwake,baadae nikajiingiza kwenye mahusiano na mume wa mtu ambapo mara ya kwanza nilifarijika sana ila siku znavyozidi kwenda naona namkosea Mungu wangu,nmeachna nae juzi ila nahisi nina ujauzito.Siko tayari kutoa mimba na nahisi moyo wangu hauna amnai kuzaa na mume wa mtu,niombeeni Mungu anisamehe na kunionyesha njia kwa haya ninayopitia sasa.Amen.

  Like

 16. zaituni says:

  naomba kuombewa mm pamoja na mume wangu tumepata vvu

  Like

 17. Paul - Mwanza says:

  Nahitaji maombezi juu ya mwanangu aitwaye Moses, ana umri wa miaka 11 anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari kupanda. umemwanza tangu mwaka jana na cha ajabu ni kwamba si wa kuridhi maana sisi wazazi wake hatuna historia ya ugonjwa huo. unamsumbua sana na kwa sasa tumbo lake pia linamsumbua sana na limefula (kuvimba). Nahitaji msaada wa MUNGU uingilie kati maana akili ya kibinadamu sasa imeshindwa.

  Like

 18. Martha Mgonja says:

  Nahitaji maombi yenu, nina mpenzi ambaye amekuwa akitoa ahadi ya kwenda kwetu ila kila ikifika ule muda anabadili mawazo na kusema kuna mambo anamalizia, Naomba maombi yenu mungu anisimamie katika hili kila hila za mwovu shetani zinazojiinua katika mahusiano haya zikashindwe, pia mungu atetee mahusiano haya mwaka usiishe awe ameenda kwetu maana ni ahadi ya siku nyingi.

  Like

 19. donald kimario says:

  naomba msaada wa maombi kwa ajili ya dada yangu boss aliyelazwa hospitali ya rufaa mbeya. kibinadamu hali yake inatufanya ndugu tutoe machozi kwa sababu inazidi kuwa mbaya na leo amewekewa mipira ya kupumulia. Tunaomba MUNGU atutoe katika hili kwa sabubu tumebaki kulia tu kwa kukata tamaa..

  Like

 20. ALBERT NJOROGE JOHN says:

  my name is albert njoroge john from kenya.
  pls how can i get saved?
  my number is +254 723 272 580

  Like

 21. Amen kazi yenu ni nzuri naomba maombi kwa ajili ya binti yangu yuko shule boarding lakini anapitia mazingira magumu shule ambayo mimi mama yake nashindwa kumfikia naomba sana maombi kwa ajili yake. Naamini Mungu atafanya kitu.

  Like

 22. peterson says:

  Hi Reverend Benny Hinn My Name Is Pastor Peterson Jorlanging From Marshall Islands And My Prayer Request Is For The People They Lived In My Country They Need Everything Also Especially They Need Jesus In There Life

  Like

 23. DEAR! WE HAVE DIRTY CARPET IN CHURCH ”GODS FAMILY”.PLEASE PRAY FOR NEW! THANKS! GOD LOVE YOU! SERGE LEVCENKO/LIEPAJA.LATVIA/

  Like

 24. Peterson says:

  Pray for my talents
  Pastor Peterson

  Like

 25. Peterson jorlanging says:

  Pray for my talents

  Like

 26. GODBLESS says:

  naomba mumuombee mtoto wangu mgonjwa sana, amelazwa hospital ya rufaa ya mkoa TUMBI

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s