SUGGESTIONS / MAONI

Welcome on our ministry’s site. please we need to hear from you, let us know of your suggestions, to advise us, to rebuke us, as the servants of Jesus we are the same flesh to acomplish the body of Christ. please do not keep silent but speak to us. be blessed all.

Mpendwa katika Bwana tutafurahi sana kama tukisikia neno lolote kutoka kwako, kutuonya, kutushauri au kutukemea. ikiwa sisi tumekuwa mwili mmoja basi tu-wamoja katika kuutimiliza mwili wa Bwana wetu Yesu Kristo. Tafadhali usinyamaze bali sema neno kwetu tutasikia na kulifanyia kazi.

Advertisements

10 Responses to SUGGESTIONS / MAONI

 1. Meinrald says:

  kazi njema songa mbele,ungeza nmakala za mafundisho,hitaji kubwa leo ni mafundisho sahihi ya Neno la Mungu,watu wanapenda mahubiri zaidi kuliko mafundisho.

  Like

 2. Edith Macha says:

  Praise the LORD Jesus Christ the Servant of God Christopher. I thank God for you and proud too.
  Yesterday night I was in asleep dreaming that you have come to our area in Majengo praying for people in need, I awoke and put on my mobile radio
  and found that you were praying for people and mentioned some people at home. I thank God for your service.
  Mrs. Mganga

  Like

 3. Peter says:

  Dear ministry
  It is with much feeling that I received a bad news of my sad loss, My Elder brother GREGORY PROTACE NIWAGIRA he has passed away on Friday January 13,2011 at Rubya Hospital Muleba Kagera Region after short sickness .

  The burial of our beloved elder brother was taken place on Sunday January 15, 2012. at Buyera village.
  It is truly an irreparable loss. I feel the blank so much. I can yet hardly believe it is true. I have indeed been comforted by the knowledge that all was done for the best by the Divine wisdom . I know that God will relief my pain for is the Merciful One.
  Kindly assist to return him alive so that he may live a victorious life. Glory be to God. I desire to see the Holy Spirit’s miracle-working power.

  Thanks and Best Regards

  Ishengoma.

  Like

 4. Mwalimu mwakasege mafundisho yoko mazuri sana ninayahitaji,na nimeyasoma safi sana ubarikiwe,. na pastor.Mtitu.M.A Jr mahubili yako ni mazuri umenifundisha kuto kata tamaa,asante sana na mungu awabariki watumishi wa mungu.

  Like

 5. Mbona hamjibu mapigo ya waislam kwenye islam vs christianity au mmeishiwa hoja na sasa mnaanza kuona ukweli wa dini ya kiislam ndo maana kimyaaaaa!!! Uislam ni dini ya kweli na haitaki mpaka mtu ajipake mafuta mkononi ili aangushe watu kwa kisingizio cha kutoa mapepo ili apate sadaka hayo mnayofanya ni machukizo mbele ya Allah!! Hata Bwana Yesu aishatabiri

  katika Mathayo 24:23-26 ” kwa maana watatokea makiristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule. Tazama nimekwisha kuwaonya mbele” hawa manabii wa kikiristu hapa tanzania wapo kila mtaa wanajipaka mafuta ya “mzabibu” mikononi na kuwaangusha hasa wanawake Allah atawaadhibu siku ya mwisho…tunaomba muache na mrejee katika ukweli yaani uislam.

  Like

  • Mama Irene says:

   Amini uaminivyo usiingile imani ya mtu na kile mtu anachokiabudu. Dini safi isiyo na mawaa mbele za Mungu ni Kutazama wagonjwa, Saidia yatima na wajane ujilinde na dunia usitende dhambi hiyo ndiyo dini safi mbele za Mungu. Pia biblia inasema mabishano ya kipuuzi yasiyo na maana tujiepushe nayo hayo ya kwako ni ya kipuuzi hayana maana. Kumbuka utahukumiwa kwa matendo yako na sio kwa dini yako elewa. Hakuna ukweli wowote kwenye dini yako hayo ni mapokeo umekuta kwa wazazi wako tu. Si ajabu wala sitashaangaa hata wewe unaabudu usichokijua. USHAURI. Achana na habari za dini rekebisha mwenendo wa maisha yako

   Like

 6. irene marthn says:

  barkwn xana songa mbele hukuna ukweli katika dini ya krislam, wataishia kuxema hivo hivo hamna jipya by irene

  Like

 7. Dickson Kamugisha says:

  Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
  Songeni mbele muda hautungoji na hizi ni nyakati za hatari.Manabii wa uongo
  wanafanya kila njia kutaka kutumeza wakati wao ni chakula chetu(Matendo 20:28-31).
  Joshua na mwezake walisema wale majitu ambao wako kaanani ni chakula chetu,tutawatafuna
  na kuimiliki nchi tuliopewa na Bwana.

  Mimi ningependa nishirikiane nanyi katika kufundisha INJILI YA UNYENYEKEVU WA YESU(WAFILIPI 2:3-4).Ndani ya huu unyenyekevu kuna SIRI YA KUTISHA YA KUTUKOMBOA
  KATIKA NYAKATI HIZI ZA MWISHO.JAMBO LA AJABU NA LA KUCHUKIZA LINAENDELEA
  NDANI YA TANZANIA(YEREMIA 5:20-31).

  Kwa sasa naishi nchini South Africa,taifa ambalo halina tofauti na watu wa NINAWI (Yona 4:11)
  lakini Yesu ni mwema siku zote.

  Ni lazima tuingie ndani ya maono makubwa ya TANZANIA ili tuyakamilishe.Nguvu na hila
  za manabii wa uongo ambao huduma za zimechukua zaidi ya asilimia 80 ya huduma zote
  za kiroho Tanzania,KAMWE HAZIWEZI KUUSHINDA UNYENYEKEVU WA YESU
  (HABAKUKI 1;5-11).USHINDI NA ZAIDI YA USHINDI NI LAZIMA(HABAKUKI 3:1-19).

  UDHALIMU WA MUNGU NI UNYENYEKEVU NA SISI NI LAZIMA TUMSAMEHE
  KWA UDHALIMU HUO(2 WAKORINTHO 12:11-18).

  Ni maombi yangu kwa Mungu ya kwamba mzidi sana kubarikiwa katika kutembea na
  MACHO SABA YA MAARIFA YA UNYENYEKEVU WA YESU(UFUNUO 5:6).

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s