TEACHINGS / MAFUNDISHO

Welcome on our learning centre, we welcome every body to comment the teachings which he/she have, this will help to build the Church Of Our Lord God Jesus Christ. Pleas share with us what you have. we need different teachings about Economy, Life, spiritual, Marriage, Ministries, Service, etc. God bless you.

Advertisements

27 Responses to TEACHINGS / MAFUNDISHO

 1. moses mayila says:

  praise the Lord Jesus our God and our sevior. i’m happy to represent this topic pulic to you my brothers and sisters in the Lord. tonight i gona speak about prenvetion of success in your life. i know most of people they do not know the greates preventer of their life success. in short it is: the greates avoider of your life success is your body! most of you knows that the greates avoider of development of your spiritual life is satan but the answer is yes but some times satan seems to the second avoider of our life delopment.why i said the greates avoider of your success is your Body? join me nex tomorrow.

  Like

 2. DEO says:

  Naomba uniombee

  Like

 3. Pastor Eliya says:

  JINSI YA KUSIFU

  ZABURI: Enyi watu wote pigeni makofi, mwimbieni Bwana.kwa kuwa bwana aliye juu ni mfalme wa yote atawatiisha mataifa chini ya miguu yetu.

  Sababu za kumsifu Mungu:
  1. Tunamsifu kwa vile alivyo. Ametukuka sana, ana nguvu.
  2. Tunamsifu mungu kwa sababu ya matendo yake makuu.

  Biblia katika Zaburi inasema Kwa kuwa Mungu ni mfalme mwimbieni kwa Akili, Paulo anasema imetupasa kuomba kwa Roho na kwa Akili pia. Nyimbo zinazotakiwa wakati wa sifa ni zile ambazo zinamsifu Mungu tu, na sio zilizokaa kama mipasho.

  Pambio kama hizi za mipasho sio za sifa, pambio za sifa ni zile ambazo tunakuwa tukiimba kumsifu mungu, tukitaja sifa zake kama Ukuu wake, Uweza wake.

  Kunatofauti katika Kuabudu na sifa isipokuwa zinashabiriana.
  Kuabudu maana yake ni kuinama na kusujudu na kutukuza kitu kuwa hiki ni kikuu kuliko chochote, wimbo wa kuabudu sio lazima uwe wa taratibu.
  Kuabudu ni kuinama na kumuinua Mungu. Zamani tulipokuwa tunaabudu tulikuwa tunanyoosha kabisa mikono, lakini siku hizi tunainua kwa imani tu .

  Biblia inasema Maana Mungu ni mfalme inawapasa kumuimbia kwa akili: mambo haya hayatatimia kama hatufuati utaratibu ulio sahihi.

  KUOMBA:
  Hutakiwi kukemea wakati wa maombi, unapokusudia kuomba ni lazima upeleke haja zako kwa Mungu. Lakini kabla hujapeleka maombi yako ni lazima kwanza umsifu mungu. Mungu atakuja upesi sana hata kama alikuwa na kazi ni lazima ataiacha na kushuka kwako, yaani kama ukianza kwa sifa utamshusha Mungu mzima mzima. Watu wengi hujali mahitaji yao, usichomeke mahitaji yako wakati wa kusifu. Bwana wetu yesu alitufundisha vizuri aliana kwa kusema baba yetu uliye Mbinguni Jina lako litukuzwe, ufalme wa ko uje…… na baada ya hapo akasema Utupe leo Riziki yetu, hapa sasa ndipo unaanza kuweka mahitaji yako. Pia kuna jambo la kusamehe, ni lazima kwanza umsamehe aliyekukosea, Yesu alitufundisha hivi: Utusamehe makosa yetu kama na sisi tunavyo wasamaehe waliotukosea. Kwa hiyo ukisha msamehe mwenzako ndipo sasa maombi yako yatakuwa na kibali mbele za Mungu.

  Pastor Eliya

  Like

  • BUKULA says:

   KIBURI

   Isaya16: Kiburi hutangulia uangamivu, na roho yenye kutakabali uyenyekevu.

   Mithali 13:08-09 nuru ya mwenye haki yang’aa sana bali taa ya mtu mmbaya itazimika. Kiburi huleta mashindano tu. Bali hekima hukaa na wanyenyekevu.

   4. Ufunuo 12: 4-9 na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni na kuziangusha katika nchi na yule nyoka akasimama kando ya yule mwanamke naye akazaa mtoto mwanaume atakayewachunga mataifa kwa fimbo ya chuma. Kulikuwa na vita mbinguni, mikael na malaika zake wakapigana na yule Joka yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, lakini nao hawakushinda na mahala pao pakaondolewa Mbinguni, yule nyoka mkubwa ambaye ni ibirisi na shetani akatupwa Duniani.

   KIBURI KINAWADOGO ZAKE:
   1. Kujitukuza – kwa sababu ya kujitukuza mtu unaweza usijue kama unakiburi, lakini kwa kujitukuza uko chini ya Kiburi.
   2. Kujivuna – Watu wanajivuna sana hata kwa makanisa waliyonayo, watu waliochini yao, katika huko kujivuna unafungua mlango wa vita.
   3. Kujihesabia Haki: Mithali 15.22 pasipo mashauri makusudi hubadilika, bali kwa wingi wa washauri huthibitika.watu hujihesabia haki kwamba hawawezi kuonywa, hawawezi kushauriwa. Ushaui ni mzuri sana, Leo tuko hapa kushauriana, maana usiposhaurika hata mipango yako ya kazi itaharibika.
   4. 1Timotheo 3:6-Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu asije akajivuna akaanguka katika hukumu

   KIBURI CHA KUJIFANYA:
   Watu wanaweza kuwa wanafahamu kwamba unaweza kufanya kitu flani, na wewe unafahamu kukifanya kitu hicho,na mara wajapo kukuambia kwamba fanya hivi mara wasema umesahau, au hujui.

   Mithali 6:17-19 mate ya kiburi, ulimi wa uonga na mikono imwagayo damu isiyo na hatia moyo uwazao mawazo mabaya, miguu iliyomiepesi kukimbilia maovu.shahidi wa uongo asemaye uongo. Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.

   Mithali 21:4: macho yenye kiburi na moyo wenye kutakabari , hata ukulima wa waovu ni dhambi.

   3:34 Mithali, hakika yake wenye dharau huwadharau bali huwapa rehema wanyenyekevu.

   Mithali 1:22 Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao na wapumbavu kuchukia maonyo?

   Yakobo 4:6 Lakini kunatahadhari ambayo Mungu ametujalia kwa hiyo husema, Mungu huwapiga wajitukuzao bali huwapa neema wanyenyekevu.

   KIBURI HUHARIBU UHUSIANO KATI YA MUNGU NA MWANADAMU
   Kiburi hututenga na kutuweka mbali na Mungu

   Kumbukumbu. 8:14 basi hapo Moyo wako usiinuke ukamsahau Bwana, Maana kama ukimsahau Bwana basi kiburi kitakuwa kimekutenga na Mungu.

   KIBURI HUMFANYA MTU AJIONE KWAMBA KILA JAMBO ANALIWEZA
   Kiburi humfanya mtu ajione kuwa yeye ndiye yeye anaweza kila kitu . hii ni tabia ya kiburi na shetani.

   KIBURI NI ROHO YA UADUI NA NI ROHO KAMILI
   Unapata picha gani juu ya maeneo haya ambayo nimezungumza ni wapi umekwama au unaona ni wapi kanisa limekamatwa. Paulo anasema maana lile nilipendalo silitendi, na lile nisilolipenda nalitenda basi si mimi bali ni dhambi iliyomo ndani yangu. Rumi 7:15

   KIBURI CHA KITU TULICHONACHO
   Mambo ambayo Mungu amekubariki yanaweza kuwa ni kero kwa jamii, yamkini ni huduma yako, au mali zako. Hiki pia ni Kiburi.

   KIBURI KINAHARIBU MWILI WA KRISTO NA KULIVUNJA KANISA LA MUNGU.

   JINSI GANI TUKISHUGHULIKIE KIBURI?
   Kwanza ni lazima ujitambue ya kwamba unakiburi kisha ukikane, na baada ya kukikana ni kutembea na bwana.

   Usimfuatilie mtu kwamba nini anafanya, wewe kaa katika mpango wa Mungu.

   Mhubiri 7:19 Hekima ni nguvu zake mwenye hekima zaidi ya wakuu kumi walioko mjini, bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa Duniani. Tena usitie maneno aliyofanya usije ukamsikia mtumwa wako mwenyewe ali-akikutukana kwa kuwa mara nyingi moyo wako wajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine, maana mimi nimeyachunguza mambo haya kwa hekima, nilisema mimi nitakuwa hekima lakini imefarakana nami.kuitafuta hekima na maana ya mambo yaliyoko ili nifahamu ya kuwa uovu ni upumbavu. Na upumbavu ni wazimu.

   Warumi 12:16-19 mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi, msinie yaliyo makuu. Lakini mkubali kushirikishwa na mambo manyonge, msiwe watu wa kujivunia akili, msilipe mtu uovu kwa uovu angalieni yaliyo mema machoni kwa Mungu, kama yamkini kwa upande wenu mkae kwa amani na watu wote. Wapenzi msijilipize kisasi bali ipisheni ghadhabu ya mungu, maana imeandikwa “kisasi ni juu yangu mimi, mimi nitalipa anena Bwana.”

   Zaburi 119:9 Jinsi gain Kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii akilifuata neno Mungu

   Bwana akubariki.

   Mtumishi wa Mungu. Bukula
   Sengerema, Tanzania.

   Like

 4. mosespk says:

  THE WAY TO GROW UP YOUR ECONOMY:

  welcome back at our learning centre, my name is Moses Mayila, today we are going to learn about the headed topic. as we know there is a proper way to everywhere and also in reaching every thing. so if you are in New york then you want to go to Miami you must walk through Miami road, you can not walk through California road while you are going to Miami.
  it is the same in reaching the blessing too, there is the way you must walk through to the blessing. do you know why many peoples prays day and night to be blessed but they not? because they do not know the way to the blessing. let me show you the way to the blessing and to lift up your economy. Malachi 3:10 “Bring tithes and be enough food in the tample test it by this way and i will open the windows of heaven upon you, there will be no enough rooms in your house to store” see how God says! “TEST IT BY THIS WAY I WILL OPEN THE WINDOWS OF HEAVEN UPON YOU” now we realize the way which will convince God to open the windows of heaven to bless you is TITHES,so if you do not give tithes it means that God will close the window of blessing upon you. look how dangerous is for your economy! if God will close the windows of blessing upon you, you will be praying day and night but nothing will happen because the windows are closed. take this way my dear and walk through it then see how God will open the way for your economy. May Jesus Bless you all. Amen

  Ev.moses mayila
  mosesmayila@yahoo.com
  +255787589475
  TANZANIA, EAST AFRICA

  Like

 5. mosespk says:

  AMRI KUMI, TORATI NA AGANO LA KALE YOTE YAMESHAONDELEWA!

  Mungu alitabiri kwamba ataondoa agano la kale na kufanya agano jipya lililotofauti: (Angalia siku zinakuja, asema bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israel na nyumba ya Yuda si kwa mfano wa agano lile nililofanya na baba zao katika siku ile nilipowashika mkono ili kuwatoa katika nchi ya misiri ambalo agano langu hilo walilivunja.Yer.31:31-32) Kut.34-27-29 Uso wa Musa ulivyong’aa alipopewa zile amri kumi, kwaa hiyo amri kumi zimeitwa kuwa ni huduma iliyokuja na utukufu,tusome kwaa makini misitari ifuatayo tuone kuwa agano la kale na amri kuni ni mamoja na yote yameondolewa.
  “Naye mungu ndiye aliyetutosheleza kuwa wahudumu wa agano jipya, si kwa andiko ali kwa Roho, maana Andiko huua bali Roho Huhuisha. Basi ikiwa huduma ya mauti iliyoandikwa na kuchorwa katika mawe (yaani amri kumi) ilikuja na utukufu hata waisrael hawakuweza kuukazia macho uso wa Musa, kwa sababu ya utukufu wa uso wake, nao ni utukufu uliokuwa ukibatilika, Je! huduma ya roho haitazidi kuwa katika utukufu? Kwa maana ikiwa ile inayobatilika ilikuwa na utukufu, ni zaidi sana ile ikaayo inautukufu. basi kwa kuwa tunataraja la namna hii twatumia ujasiri mwingi, nasi ni kama Musa alivyotia utaji wa uso wake ili kwamba waisrael wasitazame sana mwisho wa ile iliyokuwa ikibatilika ila fikira zao zilitiwa uzito. kwa maana hata leo hivi lisomwapo agano la kale utaji uo huo wakaa, yaani haikufunuliwa kwamba huondolewa katika kristo ila hata leo torati ya Musa isomwapo utaji huo huikalia mioyo ya, lakini wakati wowote watakapomgeukiwa Bwana utaji huo huondolewa (2kor.3:6-8, 11-16) Misitari hii yaonya kwamba agano jipya linadumu bali agano la kale limebatilika. “Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa kristo ili tuhesabiwe haki kwa imani, lakini iwapo Imani imekuja hatupo tena chini ya kiongozi (Torati). Gal.3:23-25
  bali sasa tumefunguliwa katika torati tumeifia hali ile iliyotupinga, ili sisi tupate kutumika katika hali mpya ya Roho, si katika hali ya zamani ya andiko. Tusemeje basi, torati ni dhambi? hasha walakini singalitambua dhambi ila kwa sheria, kwa maana singalijua kutamani kama torati isingalisema “USITAMANI”(Rum.7:6-7) tazama tumefunguliwa katika torati iliyosema usitamani, Yesu mwenyewe alionyesha agano lake jipya jinsi lilivyotofauti na amri kumi katika (Mat.5:21-22, 27-28.) soma pia (Gal.4:21-31, Mdo 15:5-11, 19:29)

  From:
  CCT BIBLE SCHOOL MAGOMENI.

  Like

  • HIVYO UNAVYOSEMA SIO KWELI KABISSSAAA! TORATI HAIWEZI KUONDOKA HATA NUKTA MOJA, TUMSIKIE YESU MWENYEWE ANAVYODAI
   MATHAYO 5:17-19 “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. kwa maana amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitankapoondoka, yodi moja wal nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie, basi MTU YE YEYOTE ATAKAYEVUNJA AMRI MOJA KATIKA HIZI ZILIZO NDOGO, NA KUWAFUNDISHA WATU HIVYO, ataitwa MDOGO KABISA, katika Ufalme wa mbinguni.”

   Kwa hiyo ndugu zangu huyu jamaa anavunja amri za torati na kuwafundisha watu kuwa zimeshaondolewa hawezi kuona ufalme wa mbinguni kama Yesu alivyosema, anataka na nyie mpotee msiuone ufalme wa mbinguni. Jihadhari na manabii wa uwongo kwa maana ni wengi kipindi hiki na hawafundishi maneno ya Yesu bali maneno yao.

   Like

 6. I just want to tell you that I’m newbie to weblog and truly enjoyed this website. Very likely I’m planning to bookmark your blog post . You absolutely have tremendous articles and reviews. Regards for sharing your blog site.

  Like

 7. Majority weilding their horrendous MIGHT upon a Minority. Te Iwi Kainga o te Motu o Rapanui..O ratou nga Tangata Whenua kei reira. The Rapanui people are the rightful people of their LANDThey are the CUSTODIANS to care and nurture the land for future generations to be born. They are also ONE of our WAKA that left HAWAIKIand traversed across an Ocean and there in Rapanui they were gifted the Island by IO to grow in number and to surviveThe other Waka reside in Aotearoa aka New Zealand.

  Like

 8. It was only during the last century that the falsehood about this country being a democracy became widely accepted. Woodrow Wilson declared that we fought World War I “to make the world safe for democracy.” Franklin Roosevelt said that the U.S. “must be the great arsenal of democracy.”

  Like

 9. I simply want to mention I am all new to blogging and seriously liked this website. Probably I’m want to bookmark your blog post . You absolutely come with tremendous articles. With thanks for sharing your blog.

  Like

 10. We in the morning normally towards blogs along with i really really take pleasure in ones articles. The actual document also has seriously peaks this fascination. My spouse and i am going to make sure you save your current site also always keep viewing meant for all new data.

  Like

 11. My programmer is trying to convince me to move to .net from PHP. I have always disliked the idea because of the expenses. But he’s tryiong none the less. I’ve been using Movable-type on various websites for about a year and am concerned about switching to another platform. I have heard very good things about blogengine.net. Is there a way I can import all my wordpress content into it? Any kind of help would be really appreciated!

  Like

 12. Thanks for every one of your hard work on this site. My niece take interest in going through investigations and it’s simple to grasp why. All of us hear all regarding the compelling form you provide functional tactics through the website and therefore increase response from website visitors about this point while our own simple princess is without question studying a lot. Take pleasure in the rest of the new year. You are carrying out a dazzling job.

  Like

 13. Olive Buller says:

  It does matter who posted because it is an epitome of fame

  Like

 14. dart flights says:

  No Karen/Moira, I guess.

  Like

 15. Thanks for some other great post. The place else may just anybody get that type of information in such an ideal way of writing? I’ve a presentation subsequent week, and I’m at the look for such info.

  Like

 16. Good article once again.. Thank you;)

  Like

 17. Amanda says:

  Thanks so nice

  Like

 18. James Buretta says:

  thanks alot and may God bless you all.

  Like

 19. finance help says:

  Hello mates, good paragraph and fastidious arguments commented here, I am genuinely enjoying by these.

  Like

 20. Dickson J.I says:

  SHUKRANI MBELE ZA BWANA.
  Na. Ev. Dickson J. I
  Shukrani ni hali ya kuonyesha kulidhika kwa huduma uliyopewa.Tunapotoa shukrani kwa Mungu huwa tunamrudishia vichache kati ya vingi alivyotupatia.-ZABURI 24:1
  -Mungu aliagiza tangu zamani watu kutoa shukrani-WALAWI 20:23-25.
  -Nasi pia Mungu anatuagiza kutoa shukrani mbele zake.-WAKOLOSAI 3:15.
  -Na sio tu kutoa shukrani bali na kuzidi na kudumu katika kutoa shukrani-WAKOLOSAI 4:2; 2KORINTHO 4:15.

  KWA NINI TUMSHUKURU MUNGU?
  Katika mwisho wa mwaka zipo sababu nyingi za wewe kumshukuru Mungu,bali na sababu zako zipo sababu nyingi kibiblia zinazotuonyesha umuhimu na sababu za kushukuru kama ifuatavyo.
  1.Sababu Mungu ni mwema kwetu sote.Zaburi 106:1
  2.Sababu jina lake ni takatifu-Zaburi 97:12
  3.Sababu ni amri kushukuru-NEHEMIA 12:24
  4.Sababu ni mkombozi ZABURI 44:7-8
  5.Sababu jina lake ni jema-Zaburi 54:6
  6.Sababu jina lake ni kuu ZABURI 99:5
  7.Sababu amejibu maombi-ZABURI 118:4.

  Haya yatakusukuma kutoa shukrani mbele ya kusanyiko takatifu ZAB.116:12..

  Like

 21. RHODA KISENA says:

  namshukuru mungu kwa ajili yenu njote. nina swali je ni alali kwa mkristo kufanya arobaini na biblia inasema nini kuhusu hilo naomba mawazo yenu kiroho.

  Like

 22. Mpendwa mtu wa Mungu swali lako ni zuri sana maana sasa inakuwa kama sheria kwa wakristo,arobaini katika misiba yetu ilijitokeza katika familia yenye mchanganyika wa imani ya Kikristo na Kiisilam,miaka ya hivi karibuni imejipenyeza hata familia za Kikristo na inataka kufanyika kuwa desturi za kikristo.
  Katika Biblia sijawahi kuona neno arobani linatumika katika desturi ya misiba.Ila kuna neno MATANGA ambalo katika misiba ya waisraeli au wayahudi limetumika mara nyingi katika misaba ya watu wa Mungu kama Musa(kumb 34:8-9),Yusufu anafanya matanga ya mzee yakobo babaye(mwa 50:9-11) katika misiba hii neno matanga linatumika kama maombolezo ya misiba ya uzao wa Ibrahimu yaani watu wote ambao wamempokea Yesu.Kuendekeza arobaini na kuifanya kuwa desturi za kwenye misiba ni ukosefu wa maarifa katika imani ya Kikristo.

  Kuna famili zenye watu wenye imani tofauti na wote wanahusika katika msiba huu,sisi Tuliompokea Yesu huwa tunashiriki katika shughuli nzima ya mzishi na chakula kinachopikwa kwa siku hiyo.Mambo mengine yanayohusu imani nyingine,mila au desturi za kikabila huwa hatushiriki.

  Like

 23. MINZA MUNEJA says:

  God bless

  Like

 24. Philip Mduta says:

  Huyu jamaa kweli anapotosha.Amri za Mungu ziko palepale. Usiibe, usiue nk.Kilichibadilika ni sheria za Musa kwamba iwapo mwanamke atakutwa amezini, apigwe mawe mpaka kufa. Amri ya kutozini iko palepale lakini sheria ya kuhukumiwa na mwanadamu baada ya kosa hiyo ndiyo imeondolewa na hapo ndipo tunapoishi kwa Neema. Kwamba tumezini ndiyo, lakini tunapewa nafasi ya kuweza kutubu na kumrudia Mungu wetu kwa kutenda matendo meme.
  Tumruhusu Roho mtakatifu aendelee kutufunulia maandiko.

  Like

 25. Jaman wateule ninaomva masomo yawe hapa wazi pili tunaomba mje rombo .je masomo kamili tutayapatane

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s