UWEZA ULIO KATIKA NENO LA MUNGU

Neno ni nini?
Neno ni matamshi yenye maana yanayotoka kwenye kinywa cha mtu, au kitu !
Kibiblia neno ni yale mambo yaliyojaza moyo wa mtu , biblia inasema “Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake , hutoa yaliyo mema,na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoka yaliyo maovu; kwa kuwa mtu hunena yale yaujazayo moyo wake” Luka 6:45 amplified bible moyo umeandikwa kama (storehouse)
Neno la Mungu
Neno la Mungu ni yale maneno yanayotoka kwa Mungu, na ni makusudio ya somo hili kujifunza uweza ulio katika neno la Mungu ili yamkini tupate kujua msaada tutakao upata kwenye neno hilo! Mungu anaongea sana kupita unavyofikilia lakkini unawezaje kulipokea neno na kulitumia hapo ndo wengi wanaposhindwa.

UWEZA ULIO KATIKA NENO LA MUNGU
Uwezo wa kukuongoza katika njia sahihi.
“neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu” Zaburi 119:105 , neno linatuonyesha tunapoelekea, linatuongoza kutenda kwa usahihi kama vile nchi bila katiba inapotea, ndivyo mtu anayemwamini Yesu kutokuwa na neno la Mungu moyoni mwake! lazima atapotea! Mungu akamwambia Joshua “kitabu hiki cha torati kisitoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku…ndipo utakapoifanikisha njia yako…” Joshua 1:8. Ni kwa kufuata Neno la Mungu ndipo mtu anaweza ifanikisha njia yake!
Uwezo wa kutufanya hai.
“maana mtu hatoishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu” Mathayo 4:4, neno limejaa uwezo wa kutufanya hai, kama vile mwili bila chakula unakufa ndipo mtu aliye na Yesu bila neno lake lazima atakufa kiroho. Neno la Mungu linatupatia nguvu ya kuishi bila neno la Mungu maisha yetu ya kiroho yamo hatarini, Petro akamwambia Yesu “basi twende kwa nani wewe unayo maneno ya uzima” maneno ni uzima!
Uwezo wa ushindi dhidi ya shetani.
“tweni upanga wa roho ambao ni neno la Mungu” Waefeso 6:17b ,. Mkristo asiye na neno la Mungu ni sawa na mwanajeshi asiye na silaha alafu yuko vitani, neno la Mungu ni salaha kuu dhidi ya shetani “je, neno langu si kama moto, asema Bwana, na kama upanga ukatao kuwili?” neno la Mungu ni ushindi mkamilifu dhidi ya shetani! Tukijua kulitumia ni ushindi mkamilifu!
Uwezo wa kupokea kutoka kwa BWANA.
“…….na maneno yangu yakikaa ndani yenu , ombeni lolote mtalipata” Yohana 15:17. Neno likijaa ndani yetu tutajua jinsi ya kuomwomba Mungu sawa sawa. Ni muhimu kuishi kwa kusoma neno la mungu ili tuombe sawa na mapenzi yake .
Uwezo wa kuumba.
“kwa imani twafahamuya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa NENO LA MUNGU….” Waebrania 11:3. “maana yeye alisema ikawa,NA YEYE ALIAMURU IKASIMAMA” Zaburi 33:9 neno lina nguvu ya kuumba inategemea unaamuru nini na kwa uweza gani! Hivyo hata ukipita katika ugonjwa unaweza ukasimama mwenyewe ukaamuru kwa uweza wa kuumba na ugonjwa ukaondoka. Yesu alikuwa anatumia maneno kama haya kuponya watu “nataka takasika” uwe mzima” “mtoke mtu huyu” haya ni maneno ya kuumba kama Mungu alivyo tamka “iwe nuru ikawa n.k.” mwanzo 1:1-.. .
Ni Mungu mwenyewe.
“hapo mwanzo kulikuwa na neno , naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu” Yohana 1:1 ,. Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe, kwasababu huwezi kumtofautisha mtu na neno lake , Mungu ni neno na ndio maana sisi tukilishika neno lake tunakuwa washiriki wa tabia ya kiungu “…tupate kuwa washiriki wa tabia ya kiMungu…” 2Petro 1:4,. The Amplified Bible says that “ sharer (per-takers) of divine nature” na kwa namna hiyo tunaitwa miungu “mimi nimesema ndinyi miungu,na wana waa aliye juu wote pia..” Zaburi 82:6. Kumbe tunapata uwezo wa kuumba kwasababu na sisi ni mi ungu kwa kulishika neno lake!

Tunapataje uwezo wa Neno la Mungu!
“hapo mwanzo kulikuwa na neno, naye neno alikuwako kwa Mungu naye neno alikuwa Mungu, . Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa yeye; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima , nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo yang’aa gizani wala giza halikuiweza!” Yohana 1:1-5 ,.
Mambo ya kujifunza kutoka kwenye hilo andiko!
1.) Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe hivyo si la kulifanyia mzaha, kamwe huwezi kumtenganisha mtu na neno lake , ndiyo maana hata Mafalisayo walimtega Yesu kwenye maneno yake ili wamkamate “wakamviziavizia …ili wamnase kwenye maneno yake, wapate kumtia kwenye enzi ya mamlaka ya liwali” Luka 20:20. Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe.
2.) Tunajifunza jinsi ya kulitumia neno la Mungu , biblia inasema “ ndani yake ndimo ulimokuwa uzima” ni muhimu kujua kusikia neno tu haitoshi bali kujua kilichoko ndani ya neno hilo, Neno la Mungu lina uzima ndani yake ambao huwezi kuupata kwa kusikia peke yake! Ni kweli kusikia neno la Mungu kunaleta imani(warumi 10:17) lakini imani inatakiwa kuwekwa kimatendo hapo inamaanisha udhihirisho wa neno ulilolipokea na hapa ndipo wakristo wengi wanashindwa kujua na kubaki kumlaumu MUNGU!
3.) Tunaweza kuupokea ule uzima ulio katika neno , kwa kutafakari neno, kivipi basi? Tuchukue mfano wa tundo kama chungwa huwezi kula pamoja na maganda yake ni lazima kumenya maganda kwanza ndipo ule , sasa chungwa ni kama neno la Mungu na maganda ni tafsiri za kibinadamu, Kutafakari neno ni kumruhusu Roho mtakatifu akufundishe kama tulivyoona hapo juu kuwa NENO NI MUNGU, na hakuna anayejua mafumbo ya Mungu isipokuwa Roho mtakatifu, (1wakorintho2:10-11) hivyo Roho hutufunulia kwa kutafakari neno la Mungu Daud akasema “na sheri huitafakari mchana na usiku”
4.) Je wajua kuto kutafakari neno la Mungu ni kumzimisha Roho wa Bwana?
Biblia inasema “ tusimzimishe Roho wa Bwana” 1Thesalonike 5:19 ,. Kuto kutafakari neno la Mungu ni kumzimisha Roho wa Bwana, kwa sababu haumruhusu yeye kukufundisha na huku biblia inasema “Roho atatufundisha kuyashika yote” sasa ni Muhimu kutafakari neno la Mungu kwa kufanya hivyo tunaruhusu uwezo wa Neno la Mungu kutenda kazi katika maisha yetu!
5.) Sasa kwa kutafakari ndipo unapo ingiza uzima kwenye maisha yako, kwenye kazi yako , mafanikio yako (Joshua 1:8) n.k. iyo ndiyo Nuru inayo ng’aa gizani hata giza na wakuu wake hawataiweza kabisa! Jifunze kujiwekea Ratiba ya kusoma neno la Mungu kila siku na kutafakari(meditation) unahusianisha na maisha na kumwomba Roho mtakatifu akufundishe ! MAY GOD BLESS YOU

DAVID MGONGOLWA
E-mail : davidmgongolwa@ymail.com

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

45 Responses to UWEZA ULIO KATIKA NENO LA MUNGU

  1. Baseballbriefs.com tracking back . And so it begins

    Like

  2. Can I simply say what a reduction to seek out somebody who really is aware of what theyre talking about on the internet. You definitely know find out how to convey a problem to light and make it important. More individuals must learn this and understand this facet of the story. I cant consider youre no more well-liked since you undoubtedly have the gift.

    Like

  3. bingo says:

    Hi. I have read a couple of your other pages and needed to know if you would be interested in exchanging blogroll links?

    Like

  4. personal loans says:

    There are numerous fairly pointless remarks in below, please respect men and women along with their beliefs no matter whether an individual recognize or maybe will not recognize witht they subject.

    Like

  5. Oh my goodness! an incredible article dude. Thanks Nonetheless I’m experiencing issue with ur rss . Don’t know why Unable to subscribe to it. Is there anyone getting identical rss downside? Anyone who is aware of kindly respond. Thnkx

    Like

  6. restauracje says:

    Youre so cool! I dont suppose Ive read something like this before. So good to seek out any person with some unique thoughts on this subject. realy thank you for starting this up. this website is something that is wanted on the internet, someone with a bit originality. useful job for bringing one thing new to the internet!

    Like

  7. I like this blog it’s a master piece! Glad I noticed this on google.

    Like

  8. Techno Maker says:

    hey guys!! Brilliant site!

    Like

  9. Hello. impressive job. I did not imagine this. This is a impressive story. Thanks!

    Like

  10. There are some very boring feedback about below, please value persons along with their beliefs no matter whether an individual acknowledge as well as don’t acknowledge witht he or she topic.

    Like

  11. There have been positively countless sum similar to which to take in to consideration. That might be a great turn to lift up. we yield a thoughts on top of as ubiquitous impulse though obviously there have been questions similar to a a single we broach up a place consequential thing can be operative in frank great faith. we don?t know if biggest practices have emerged around things similar to that, though I’m certain which your pursuit is obviously famous as a satisfactory game. Both girls as well as boys feel a change of usually a second’s pleasure, for a rest of their lives.

    Like

  12. Regards for sharing NEW HOPE MINISTRY with us keep update bro love your article about NEW HOPE MINISTRY .

    Like

  13. Percy Rice says:

    This blog has got lots of really useful stuff on it! Thanks for helping me!

    Like

  14. droid bionic says:

    Thankyou for sharing NEW HOPE MINISTRY with us keep update bro love your article about NEW HOPE MINISTRY .

    Like

  15. Thankyou for sharing NEW HOPE MINISTRY with us keep update bro love your article about NEW HOPE MINISTRY .

    Like

  16. It’s your pity you actually don’t have got a contribute switch! I’d most definitely contribute to that remarkable blog page! I actually suppose that right now i’ll accept book-marking plus attaching a person’s Rss so that you can this Bing akun. I actually glance forth so that you can fresh improvements but will show the following blog site by using this Twitter crew:

    Like

  17. i think he should be off the show. come on, he broke the law, and this wasnt a little crime that he did. he deserves to be in jail. i usually dont agree with weenie, but this time i do. identity theft is not a walk in the park, he brought a lot of pain to innocent people.

    Like

  18. Moira Lipan says:

    Let us not forget that Arians brought in Zerlien to be his oline coach after their days together with the Browns. Our rushing TDs and totals from the last two seasons are crap. We gave up 47 sacks last year and God knows how many this season. Exactly what is his strong point?

    Like

  19. No9 would mean nowt if Milburn hadnt wore it.

    Like

  20. We absolutely love your blog and find many of your post’s to be what precisely I’m looking for. Would you offer guest writers to write content for you? I wouldn’t mind composing a post or elaborating on a few of the subjects you write regarding here. Again, awesome web log!

    Like

  21. beats tour says:

    Magnificent goods from you, man. I’ve understand your stuff previous to and you’re just extremely fantastic. I really like what you’ve acquired here, really like what you are stating and the way in which you say it. You make it enjoyable and you still take care of to keep it wise. I can’t wait to read far more from you. This is actually a great site.

    Like

  22. Heya i am for the primary time here. I came across this board and I to find It really useful & it helped me out a lot. I hope to offer one thing again and aid others like you aided me.

    Like

  23. I have been to Easter Island twice. Years ago, staying in a private home with local Rapa Nui people, riding a horse to see the Moais, visitng the Cannibals Cave with its wall paintings all by myself without any restrictions. It was a trip of a life time.Instead of protecting this extraordinay and precious cultural heritage site they want to transform it into a commercial Disneyland of the Pacific. Even with a Casino.

    Like

  24. Haleluya, Apewe sifa Mwana Wa Mungu aliye Hai YESU KRISTO MUNGU mwema Daima.ubarikiwe sana kwa kupeleka mbele injili kamili ya Yesu,YESU Wakati anapaa Kurudi Mbinguni alisema tutangaze Injili kwa kila kiumbe,wewe umekuwa mmoja wapo ambao Unaliishi neno la Mungu.BARIKIWA

    Like

  25. Edson Clemence says:

    Ubarikiwe kwa neno ulilotulisha.

    Like

  26. James says:

    Ubarikiwe sana

    Like

  27. Joshua Megson says:

    Nashukuru sana, somo ni zuri inaelimisha sana…..nataka kukua kiroho kila ninaposoma neno haikai kabisa , nisaidie kujua, nimeokoka nampenda Yesu. Asante

    Like

  28. JOYCE says:

    BE BLESSED MY BRO GOD BE WITH U IN EACH STEP U MAKE………………………..

    Like

  29. Rhoida Nyamle says:

    God bless u

    Like

  30. Fares says:

    Keep it up brother

    Like

  31. rabi malakibungu says:

    unapo kulachakula kikabaki .tupapeupe ; kamaulivyo tupa neno .MUNGU AKUBARIKI KWAKUTUPA NENO .Limekuwa faida kwangu. ingawa nimeokota , nimeelewa pakubwa naMUNGU anisaidie .MUNGU akusaide mtumwa usiye na faida.

    Like

  32. DAVID CAROL Mungu akubariki sana kwa somo lako zuri.

    Like

  33. Gideon mhule says:

    mungu akupe maarifa na utajiri wa hekima ktk utumishi wako nimeguswa na ujumbe wako.

    Like

  34. festus japhary chunya says:

    thanks i love the word .God bless yo, Amen.

    Like

  35. adolph alberto says:

    Amen mtumish ubarikiwe sana hakika umeongeza kitu ktk maisha yangu… na sitabak nilivyokuwa

    Like

  36. Datius Deus says:

    Mungu akubaliki sana katika huduma yako

    Like

  37. OLOOKULE says:

    YOUR DOING A GOOD JOB, PLEASE GO TO VILLAGES KAMA ULANGA DISTRICT MOROGORO REGION WE NEED TO WORK TOGETHER

    Like

  38. robert kamunya says:

    Mungu akubariki nimebarikiwa sana,na somo hili

    Like

  39. Godfrey Mabengo says:

    Mungu akubariki ntumishi japo bado kijana mdogo ni vijana wachache wanao jitoa kwa kazi ya Mungu. Endelea usikte tamaa japo kuna vilwazo njiani .Amina

    Like

  40. Raphael Peter says:

    Nimebarikiwa sana kuhusu huduma hii na kuhuu somo hili la Nguvu ilio katika Neno la Mungu,Napenda kujiunza zaidi kuhusu Masomo zaidi.

    Like

  41. CharlesSwomb says:

    hOur company provides a wide variety of non prescription products. Look at our health site in case you want to to improve your health with a help health products. Our company offers a wide variety of non prescription products. Take a look at our health website in case you want to feel better with a help of health products. Our company offers a wide variety of non prescription products. Look at our health portal in case you want to strengthen your health with a help of health products. Our company offers a wide variety of non prescription products. Visit our health site in case you want to look better with a help of generic supplements. Our company offers a wide variety of non prescription drugs. Take a look at our health portal in case you want to strengthen your health with a help of health products. Our company provides general health products. Look at our health contributing portal in case you want to improve your health.
    Our company provides a wide variety of non prescription drugs. Look at our health website in case you want to feel better with a help of general health products. Our company offers a wide variety of non prescription drugs. Visit our health website in case you want to to feel healthier. Our company offers a wide variety of supplements. Visit our health contributing website in case you want to improve your health. Our site offers a wide variety of non prescription drugs. Look at our health portal in case you want to look better with a help of general health products. Our company provides health products. Visit our health contributing website in case you want to look healthier.

    Like

Leave a comment