TUNAIKUMBUKA AJALI YA AMBASADORS OF CHRIST CHOIR

Haleluya watu wa Mungu, ikiwako misemo iliyozoeleka Duniani basi ni msemo uliosemwa na mtumishi wa Mungu Ayubu alipojaribiwa sana, ayubu alisema “Bwana Alitoa Na Bwana Ametwaa Jina La Bwana Libarikiwe” nasi hatuna budi kuurudia kuutamka siku ya leo msemo huu. japo mioyo yetu inahuzuni nyingi lakini hatuna budi kukubaliana na matokeo, kwani aliye waleta wenzetu ameamua kuwatwaa tena. leo ni siku ambayo New Hope Ministry tunawakumbuka watumishi wenzetu, Ambasadors of Christ walipopata Ajali huko Tanzania na baadhi yao kututoka kutokana na ajali hiyo. hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha baadhi ya majeruhi wa ajari hiyo wakiwasilishwa Mjini Kigali Nchini Rwanada. Bwana awabariki watumishi wake katika Jina Lipitalo majina yote. Amen

About New Hope Ministry

Our ministry is based on Preaching the Gospel all over the world we preach the Gospel and we plant churches around the world. Contact us: Mobile: (255) 787589475 E-mail: newhopeministrytanzania@gmail.com
This entry was posted in HOME. Bookmark the permalink.

8 Responses to TUNAIKUMBUKA AJALI YA AMBASADORS OF CHRIST CHOIR

  1. shoorseideady says:

    Hello. xaxanjasdijwewe And Bye.

    Like

  2. Alamokola says:

    Mmepit mahali pagumu ambasadors of Christ lakini katika yote Mungu bado ni mwema maana hata ameweza kuwatia nguvu ya kuendelea mbele kwa ukweli ki binadamu si rahisi but God is so kind. Watanzania tunawapenda maana mmetumika kuleta umoja kati yetu na Rwanda na si hivo tu tunajifunza mambo mengi ya Ki Mungu kutoka kwetu. May you receive abundant blessings from God

    Like

    • Thanks Alamokola, we also loves you so much. Tunawapenda sana Rwanda jinsi mlivyo wakarimu, wapole na wapenda Amani. Bwana awabariki sana, pia poleni sana kwa Ajali lakini twamwamini yeye aliyewapeleka. Bwana awabariki Rwanda.

      Like

  3. Alex Juma says:

    However late I send this condolence, I sincerely thank God for the Ambasador choir from Rwanda. They sing well, so aspiring and Inspirational. We were astonished here in Kenya for the said accident. We regret the death of the three individuals of the choir and we hope their demise will even make the choir stronger despite the challenges and make them strengthen their evangelistic mission even higher. Here in Kenya we are praying for them and wish them well in their entire gospel mission. May God bless them abundantly.

    Like

  4. chrles gaye says:

    Endeleeni kulitangaza neno la mungu

    Like

  5. Ahaz Naboth says:

    Bwana ndiye aliyewainua wamtumikie na ndiye aliyewachukua jina lake lihimidiwe milele na milele.Amen

    Like

  6. Hey there! Your webpage is loading slow in my situation, it went on like a moment to successfully load, I personally have no idea if it is just me or perhaps your websites although
    twitter performed acceptable for me. Anyways, Thank
    you for placing a remarkably superb blog post. I’m
    sure it really has already been honestly helpful to user who
    actually visit here. I really hope I will be
    able to find further remarkable content and I really should flatter you by stating you
    have carried out remarkable work. To obtain additional information by content you publish, I have book
    marked this url.

    Like

  7. gta 5 mac says:

    Hi there Google and yahoo performs great but your site is loading slowly which
    went on around one minute to finally load up, I don’t know if it’s my
    personal issue or maybe web site problems. Well, I have to appreciate you
    for putting awesome blog post. I’m sure it really has already been honestly helpful visitor who seem
    to visit here. This is definitely great everything that you have concluded and
    wish to check out articles by you. To obtain more understanding from articles which you write-up,
    I’ve saved to my bookmarks the site.

    Like

Leave a comment